Aisha, mwenye umri wa miaka ishirini na minane na mke wa Kazungu kutoka Mombasa afichua jinsi alivvyomtenda bwanake kumlipiza kisasi. Kwenye mazungumzo baina yangu...
Kumbe vya haramu si vitamu. Kwanza hata havina ladha ya kutaka kulamba ama kulambishwa. Moses Mshai, kijana barobaro kutoka Kilifi alikiona cha mtema kuni...